Below Are The Sample Lyrics Of “Kweli” by Joyce Omondi featuring Kepha
Jeri Eh, Jeri Oh, Jeri Ah ( Truly Truly Truly)
Mungu Baba nimeona mkono wako
Nimejawa na furaha na amani
Wanishangaza na yote umenitendea
Kweli Baba fadhili zako ni za milele
Refrain:
Kweli kweli eh/oh
Kweli Baba We Umwema
Hakuna Hakuna mpendwa kama wewe x2
Oh Jeri Mulungu ni muto sana
Mulungu ni muto sana
Wakati wa shida wanifariji ndani yako
Mwokozi wangu kimbilio, (mtetezi wangu we)
Umeniweza pendo gani hili
Niwe mu onja huye Yesu kweli, yeye yu mwema
Watenda maajabu, hakuna kama wewe
Ni wewe mkuu, ni wewe mkuu
Watenda miujiza, hakuna kama wewe
Ni wewe mkuu, ni wewe mkuu
Refrain:
Kweli kweli eh/oh
Kweli Baba We Umwema
Hakuna Hakuna mpendwa kama wewe x2
Oh Jeri Mulungu ni mudzo sana
Hakika Mulungu ni mudzo sana
Kweli Mulungu Ni Mudzo
(Refrain)
Ah Piga Makofi Ya Juu , Ah Piga Makofi Ya Juu
Kweli ni wewe, milele ni wewe tu
Pokea sifa Baba wastahili
Milele ni wewe tu
Nitakuinua aah, nitakuabudu uu
Nitakuchezea kwa moyo wangu wote eh x2
Yesu Yesu malo, pokea sifa malo (juu juu juu)
Wastahili malo, nakuabudu Baba (juu juu juu)
Malo malo (juu juu juu)
Malo malo (juu juu juu
Nakuabudu ( Juu Juu Juu)
Nakusifu Yesu Sana
Malo malo (juu juu juu)
Malo malo (juu juu juu)
Yesu Malo ,(Juu Juu Juu) Oh Yesu Malo
Amekutendea mema yo (juu juu juu)
Amenitendea mema ye (juu juu juu sana)
Discover more from ULIZA LINKS NEWS
Subscribe to get the latest posts sent to your email.