in

Video Alert!! : Masha Mapenzi Releases Her New Video “Tam Tam” (Watch Here )

Praise and worship singer Masha Mapenzi has done a new video for her song she did a while back called “Tam Tam” (tamu Tamu).
masha mapenzi

This video comes after Masha Mapenzi released her new single “Marimwengu” which is truly a blessing.  Tam’ Tam (Sweet Sweet)’ by Masha Mapenzi is a gospel music video by Zinduka international and audio works by RKay.

The song talks about the word of GOD saying it is a blessing when you follow its teaching. Watch it and also find the lyrics below the video. Be blessed

The lyrics Of the Song Are :

Bwana wewe Bwana
Bwana Bwana
Bwana wewe ndiwe
mwenye mamlaka

Bwana wewe Bwana
Bwana Bwana
Bwana wewe ndiwe
Alpha na Omega

Neno la Bwana
Ni Tamu Tamu
onja sikia Tam’ Tam’
ukitimiza Tam’ Tam’
Mavuno Yake Tam’
Tuzo Lake Tam’, Linatosheleza
ukiliamini neno, utabarikiwa
lina manufaa neno
lina manufaa neno
x2

verse 1
———-
Tazama ajuza Sara
alipata mwana
tasa Hannah alishika mimba
kipofu Batimayo alionaa, aliona
hata Lazaro, alifufuka kwa neneo
juu ya maji Petro alitembea
anayetii neno ana busara, ana busara

Neno la Bwana
Ni Tamu Tamu
onja sikia Tam’ Tam’
ukitimiza Tam’ Tam’
Mavuno Yake Tam’
Tuzo Lake Tam’, Linatosheleza
ukiliamini neno, utabarikiwa
lina manufaa neno
lina manufaa neno

verse 2
———-
Pepo na bahari, vilimtii Bwana
aliamuru, toruba tulia
samaki wa majini, alilipa ushuru, alilipa
hata kifafa, kilitoweka kwa neno
pepo wachafu walisalimu amri
miujiza ya ajabu bado inatendeka sasa, inatendeka

Neno la Bwana
Ni Tamu Tamu
onja sikia Tam’ Tam’
ukitimiza Tam’ Tam’
Mavuno Yake Tam’
Tuzo Lake Tam’, Linatosheleza
ukiliamini neno, utabarikiwa
lina manufaa neno
lina manufaa neno
x2

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Video Alert!! :Kris Eeh Baba Does A New Video With Majik Mike “I AM Free” (Watch Here)

Lyrics Alert!! Siyabonga Jesu (We Thank You Jesus) By Solly Mahlangu