in ,

Lyrics Alert!! Mke Mwema By Bonny Mwaitege

Read and sing along to the lyrics of mke mwema by Bonny Mwaitege

Hapo mwanzo mungu alimwumba Adamu
Bustani ya edeni aitunzw
Baadaye Mungu aliona sio vyema
Adamu awe pekee yake akampa mke mwema
Hapo mwanzooo

Mke mwema anatoka kwa Bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mwema anatoka kwa Bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mwema aaa

Kwa akili zangu ni vigumu kutambua
ni nani aliyeumbwa kwa ajili yangu
Katika mabinti wengi ni nani
Mungu ndiye anajua mke mwema

(Chorus)

Majukumu yananizidi jamani nachoka
Kazi za ndani haziishi mke sina
Majukumu yananizidi jamani nachoka
Kazi za ndani haziishi kazi sina
Nimeshapika deki, Nguo zangu zote chafu
Nimemaliza kufua, vyombo vyote ndani vichafu
Maharage yanaungulia, ndani maji nimeishiwa
Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika
Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika bado

(Chorus)

Ukitafuta chumba cha kupanga kama hujaoa
Unaweza kuzunguka mpaka ukachoka
Ukitafuta chumba cha kupanga kama hujaoa
Unaweza kuzunguka mpaka ukachoka
Kila nyumba unayokwenda unaambiwa
“Vyumba viko, umeoa? kama hujaoa kaka samahani
Hapa hatupangishi vijana ambao bado hawajaoa.” Oh!

(Chorus)

What do you think?

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Jesus Was A Celebrity? (Fame And Christianity)

(Photos) First Event Of Size 8 Performing As A Gospel Artiste/Musician