in

Lyrics : Bwana Wa Mabwana By Princess Farida

princess farida bwana wa mabwana

Here is the Lyrics Of Bwana Wa Mabwana By Princess Farida

 

Verse 1

Nilidhani Nilifika Nilidhani Nitapaa Juu

Nakukuona Jinsi Nilivyokuwa

Nilidhani wewe Hukujali Nilidhani Hukupendezwa Na Maisha Yangu

Kabla Uje Ukanifungua Macho Minikaona Naishi Kakitambo

Naomba

Chorus

Ewe Bwana Wa Mabwana Niko Mguuni Pako Unisikie

Ewe Bwana Wa Mabwana Nionyeshe Njia Zako Nisianguke ( Nisiabike )

Verse 2

Nikiteleza Naomba Usiniache

Ukiniacha Kweli Nimeachwa Milele

Kinyagani Mwako Baba Unitunze

Ukinitunza Kweli Nimetunzwa Milele

Ulinitoa Mashakani Ukanipeleka Maishani

Nitakusifu Wewe Milele Na Milele x2

Chorus

Ewe Bwana Wa Mabwana Niko Mguuni Pako Unisikie

Ewe Bwana Wa Mabwana Nionyeshe Njia Zako Nisianguke ( Nisiabike )

Verse 3

Kweli unafaa Maishani Mwangu Wewe Unafaa

Kila Kitu Maishani Mwangu Ninajua Ni Baraka Toka Kwako x2

Chorus

Ewe Bwana Wa Mabwana Niko Mguuni Pako Unisikie

Ewe Bwana Wa Mabwana Nionyeshe Njia Zako Nisianguke ( Nisiabike )

Ewe Bwana Wa Mabwana

Ewe Bwana Wa Mabwana, Nionyeshe Njia Zako Nisianguke

End

Nisiabike 

 

 

 

 

 

 

 

 


Discover more from ULIZA LINKS NEWS

Subscribe to get the latest posts to your email.

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

(Check Out) Top 10 Best Paying Jobs You Can Get Without A Bachelor’s Degree

Amazing Story : Alice Kamande Quit Her Bank Job To Do Singing