in

Lyrics : John 316 By Lady Bee

Lady Bee “Bernice Nduku” did a lovely single as a gospel musician called John 316 which is truly a blessing. She sings about the love that GOD had for the world that HE gave his only son as in the book of  John Chapter 3 verse 16.

lady bee 1

We caught up with her and she wrote to us the lyrics of the song which i know many have also waited for this.

 Intro

Uuu ooh uuu yeah!

Verse 1

Baba yetu adamu alitwachia dhambi duniani,

Alipokula tunda aliambiwa na mola asile

Iikawa hadi kafukuzwa shambani mwa edeni

Ambapo yote alipewa kafungiwa.

Lakini kwa upendo wake Mungu muumba wetu

Tulipata wokovu kupitia Yesu kristo,

Sasa tuna tumaini ya uzima wa milele,

Tuna tumaini ya uzima wa milele.

Chorus

 

Kwamaana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu,

Kamtoa Mwana wake wa pekee,ili mimi na wewe

Na wewe tuokolewe eeeh! X2.

 

Verse 2

Kaacha enzi na utukufu wote mbinguni

Kaja duniani kafanana nami,

Kabeba msalaba wa dhambi zangu,

Kaniokoa,niko huru

Yeye ni dakitari,simba wa yudha,

Mkate wa uzima.maji ya uhai,

Mfalme wa wafalme,mganga wa waganga,

Jemedari,jemedari.

 

Chorus.

Kwamaana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu,

Kamtoa Mwana wake wa pekee

ili mimi na wewe,na wewe

tuokolewe eeehX2.

Verse 3

Mi na shangilia,shangilia,

Oooooh uuuh na shanlia shangilia

Ooooh uuuuh nashanglia

shangilia,nimepata wokovu.

Mi nashanglia shangilia,

oooh uuuh,nashanglia shanglia,oooh

uuuuh nashangilia

shangilia nimepata uzima.

 

Chorus.

Kwamaana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu

Kamtoa Mwana wake wa pekee

Ili mimi na wewe,na wewe

Tuokolewee eeeeeeeh eeeeeeh!

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Famous Nigerian Actor “Zack Orji” Is Now A Pastor

Masha Mapenzi Mercy Masika And Kris Eeh Baba Top Gospel Charts On Reverbnation