in

Gloria Muliro Full Lyrics of New Video “Amini”

Gospel Singer Gloria Muliro Owendi of Omba Ministries is working on a new song called “Amini”.  This comes after Follow You and will be released in a pretty soon either before launch of her new Album or after.

The Gospel Singer has been moving higher and higher in ministry on each song she releases and we pray the Lord  continues to bless her.

The lyrics of the new song are here below :

Verse 1: Tangu niwe mdogo, ni mengi nimepita
Mengine mazuri, mengine machungu
Lakini jambo moja ninalijua
Heri mwisho wa jambo, kuliko mwanzo wake eee (*2)

Chorus;
Amini mwenzangu-Mungu atakuweka juu
Amini moyoni-Mungu atakuweka juu
Usiwe na shaka -Mungu atakuweka juu
Usiwe na hofu -Mungu atakuweka juu
Hata kama uko chini -Mungu atakuweka juu
Hata kama umeshindwa -Mungu atakuweka juu
Usiwe na shaka -Mungu atakuweka juu
Usiwe haraka -Mungu atakuweka juu

Verse 2: 
Mwanzo ulivyokukuwa aaa mimi sikuchagua aa
Yote niliyopitia mimi sikuchagua aa 
kukosa chakula ,mavazi, amani, sikuchagua
Kudharauliwa , kuteseka, kupotea njia, sikuchagua aaa
Ila nashukuru Mungu alitumia yote, kunitengeneza

(Chorus)…………………………

Verse 3:Mwanzo wako, najua hukuchagua 
yapo mambo umepita, wewe hukuchagua
Lakini amini haya Mungu anakwambia, 
macho hayajaona, masikio hayajasikia, 
mambo makubwa aaa, amekupangia aaa
(Chorus)…………………

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Kambua On A New Track!!

Its All About “Chagua Peace” This Thursday Ft Juliani, Emmy Kosgei And Eric Wainaina