in

Lyrics : Sina Mwingine By Leeze Muchai

Here are the Lyrics of Sina Mwingine By Leeze Muchai

leeze muchai 11

Verse 1


Kamwe Mimi Sikuachi

Moyo Wangu Nishakupa

Nikisoma Neno Lako We Wasema

Wanipenda Wanijali

Lakini Ewe Bwana Wajua Kunasiku Minashuku

Wakati Ninashida Uchungu Na Mateso ooo

Chorus

Unipe Nguvu Baba , Inua Nafsi Yangu Ikiendama

Nilinde Niendapo

Kwani Bila Wewe Bwana Sinamwingine , Sinamwingine

Verse 2

Uchungu Wangu Wafahamu Wewe Bwana

Roho Yangu Waijua

Hata Adui Wanaponizunguka

Najua Bwana Utanitetea

Nijajificha Kwako Nifunze Njia Zako

Ninapokutafuta Nionyeshe Uso Wako

Chorus

Unipe Nguvu Baba

Inua Nafsi Yangu Ikiendama

Nilinde Niendapo

Kwani Bila Wewe Bwana

Sinamwingine , Sinamwingine

End

Oooh Sina Mwingine

Eeeh Sina Mwingine

Unipe Nguvu Baba , Inua Nafsi Yangu Ikiendama

Nilinde Niendapo

Kwani Bila Wewe Bwana

Sinamwingine , Sinamwingine

Sina Mwingine , Sina Mwingine, Sina Mwingine (Sina Mwingine Baba)

Sina Mwingine

 

One Comment

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

“Good Bye Mike Friday” Kenya 7s Coach Mike Friday Resigns

Gospel Singer Bantu : “I Only Knew My Dad Existed When I Was 14 And He Died 2 Weeks Later”