in ,

Lyrics : Exponential Potential By Juliani

Sing along to the lyrics of exponential potential by juliani.

CHORUS 

Walitudharau…aha aha ahow
whose laughing now?
exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
whose laughing now, aha aha ahow…

VERSE 1 

Millioni from ten bob, nilitoa wapi extra zeros
jiulize mbona donut ina shimo
shingo shortcut ya mfuko
toe ni legal, dish kwa rooftop
si ya DSTV, ya kuomba dishi distinct
vampire vegeterian, white heads
non believers wanatuita high class
soma colle juu ya night club
result slip haidetermine pay slip
toka niwe foetus mpaka pahali nimefika
God’s finger Imemove steels

CHORUS 

Walitudharau…aha aha ahow
whose laughing now?
exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
whose laughing now, aha aha ahow…
exponential potential, wachana nao

VERSE 2 

Toka kitambo nimekuwa photogenic
wazazi waliinsist na story ya photosynthesis
nani hajui udaktari si lazima uwe mwerevu
kwa karatasi ya dawa hawamalizagi hesabu
Ocampo wananeed more ink
more pages jina zifit kwa list
si exagerate ka kufunika puncture na bandage
ndovu haiwezi hata ngumi ya mosquito
mi si muimportant? Bila mimi mama mboga ata hana customer
ngumu kwangu kizungu fluent, but huwezi command umati na influence

CHORUS 

Walitudharau…aha aha ahow
whose laughing now?
exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
whose laughing now, aha aha ahow…
exponential potential, wachana nao

VERSE 3 

Kuku yangu inalia ina swineflue
iliponiona nikinoa kisu
nilikaribisha iliassume nipek si food
homa inafunika nosestrils
coincidentally anapika seafood
akadhani sinusii harufu
uchoyo hainaga karibu
msoto ikiknock door, nikaona ikilook familiar
have we met before?
kuku inaidle nje Kenchic
ni date pending
hard work kuget the best out of life
get saved get the best out of death, eh!

CHORUS 

Walitudharau…aha aha ahow
whose laughing now?
exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
tunaogelea kwa jasho zetu
whose laughing now, aha aha ahow…
exponential potential, wachana nao


Discover more from ULIZA LINKS NEWS

Subscribe to get the latest posts to your email.

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Recap : (Photos) See How The 1st Club 316 Church Tour Was Launched At JCC

Do’s And Dont’s In A Relationship Before Marriage