in

Lyrics : Najua Hutaniacha By Makena

NAJUA HUTANIACHA – BY MAKENA (LYRICS)

LANGUAGE: SWAHILI, MERU

Nilikuwa natafuta rafiki atakaye kuwa wa kudumu
Nilikuwa nimekosa tumaini kwani binadamu hubadilika kama kinyonga
Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena. Upendo wako unanipa nguvu.
Nikiwa nawe Yesu, nitaogopa nani, nitaogopa nini eeh

Chorus
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni mwaminifu milele

Tena nikapata marafiki kadhaa
Punde shida ilipoingia nao waliondoka
Nikalia, mpaka nilipokumbuka kuwa kuna rafiki asiyebadilika
Tangu nikupate Yesu, sitafuti tena. Upendo wako unanipa nguvu.
Nikiwa nawe Yesu, nitaogopa nani, nitaogopa nini eeh

Chorus
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni mwaminifu milele

Murungu Baba imbijie untiintiga
Nontu nuiji ntiumba niinka
Inkumenya utiintiga kwiina thina na gutinayo
Baba ni mwitikikua magiita jonthe
Inkumenya utiintiga kwiina thina na gutinayo
Baba ni mwitikikua magiita jonthe

Chorus
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni mwaminifu milele
Najua Hutaniacha, pawe na shida pasiwe
Wewe ni mwaminifu milele

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Loliwe By Zahara Named As The Best Selling Tone At The 19th SAMA Awards 2013

9 Things Guys Don’t Like In A Lady