in

Lyrics : Nimekubali By Eunice Njeri

eunice njeri
Here Are the Lyrics of Nimekubali By Eunice Njeri

 

CHORUS
Nimekubali, nasema ndio
Kwako ni salama, nasema ndio
Nimekubali, nasema ndio Bwana
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie

VERSE 1
Bwana watafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli
Na wakati ndio huu naamini umefika
Nisaidie kutenda kulingana na mapenzi yako
Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu

Bwana watafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli
Na wakati ndio huu naamini umefika Baba
Nisaidie kutenda kulingana na mapenzi yako Yaweh
Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu

CHORUS
Nimekubali, nasema ndio
Kwako ni salama, nasema ndio
Nimekubali, nasema ndio Bwana
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie

VERSE 2

Mimi ni chombo mikononi mwako Yahweh
Tena ni udongo na wewe mfinyanzi Baba
Nifinyange, nitengeneze
Uishe nafsi yangu, chochote utakacho mimi nitatenda x2

CHORUS
Nimekubali, nasema ndio
Kwako ni salama, nasema ndio
Nimekubali, nasema ndio Bwana
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie

VERSE 3

Niumbie moyo safi, ili niweze kukutukuza
Bwana nitenge kwa ajili ya jina lako Baba
Wala usinitenganishe na uwepo wako
Mimi Bwana, nimekubali njia zako Baba
Nasema Ndio Kwako Baba

CHORUS
Nimekubali, nasema ndio
Kwako ni salama, nasema ndio
Nimekubali, nasema ndio Bwana
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie


Discover more from ULIZA LINKS NEWS

Subscribe to get the latest posts to your email.

3 Comments

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

After Singing “Nifinyange” Benachi Releases A New Video “Dawa” (Watch)

After Esther Wahome Spoke Out, A Mother Opens Up : “My Son Is 17 And He Can’t See,Talk Or Feed Himself”