in

Lyrics Alert!! Appointment By Jimmy Gait Ft Cece

And now we unveil the lyrics of appointment by Jimmy Gait

http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=CQoO7zApt8k

Siku moja nilikuwa na shida fulani
Nikaona niombe usaidizi
Kwa bosi fulani rafiki yangu
Tumejuana naye kwa muda mrefu
Simu yake ilikuwa iko mteja
Kwa hivyo nikaenda kwa ofisi yake
Nikaambiwa nitoe kitambulisho
Na nikaangaliwa kama niko na bomu
Wakaniuliza kama nina appointment
Nikasema sina huyo ni rafiki yangu
So wakasema “No, huwezi ona bosi”
“Ni lazima, ni lazima uwe na appointment”

Chorus:
Asante Baba, I like your office
Hakuna appointment nahitaji (repeat)
So any day, anytime, anywhere I go
I just knock, knock, knock. Naingia

Kwa ofisi yako, hakuna masoja
Hata sekretari pia hakunanga
Hakunanga diary ati lazima tupange
Any day, any time is a meeting time
Kwa hivyo, nikiwa na shida
Siwezi ngoja nipate appointment (repeat)

(Chorus)

So any day, anytime, anywhere I go
I just knock, knock, knock. Naingia

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Lets Pray For Him : Willy Paul Loses His GrandMa

Willis Raburu New Journey To Being A News Anchor