in

Lyrics Alert!! Mbona By Daddy Owen Ft Denno

Here is the lyrics of Mbona by Daddy Owen Ft Denno .

Tarehe kama saba mwezi wa saba 
Miaka zimepita kumi na saba 
Humu duniani nishajipata 
Mimi, mimi, niko nilivyo 
Sina baba wala mi sina mama 
Siwezi enda mbali, mi najificha
Nachoka kujificha, najitokeza
Mimi, mimi, niko nilivyo  
Nafunga virago vyangu, naenda mbali 
Sijui nifanye nini, niende wapi
Nifuate nani mimi, nimwite nani 
Mimi mimi niko nilivyo 
Sioni mbona nyinyi mwanikimbia 
Sioni mbona nyinyi mwanidharau 
Sioni mbona nyinyi mwaniepuka 
Mimi mimi niko nilivyo 

Chorus:
Mbona? Mbona? Mbona?
Mbona? Mbona? Mbona? 
Mbona? Ahh mbona? (repeat) 

Verse 2: (Sung by Denno)
Wakati Mungu aliniumba
Alipanga mpango wake 
Kwamba mimi niwe jinsi nilivyo 
Mbona, sasa hamnidhamini? 
Mwaniona kama sifai
Sikuchagua niwe jinsi nilivyo 
Nikitembea barabarani, macho mmenikazia 
Mbio mbio mwaniondokea, mimi ni kama nyinyi

(Chorus)Verse 3:

Kwanini mwaniepuka, Na mimi ni kama tu wewe
Na mimi ni kama tu wewe
kwanini mwanidharau? kwanini mwanidharau?
Na mimi ni kama tu wewe, Na mimi ni kama tu wewe
Kwanini wanikimbia? Kwanini wanikimbia?
Na mimi ni kama tu wewe, Na mimi ni kama tu wewe
Kwa nini? Kwa nini?

(Chorus)

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Kris Eeh Baba Mbuvi And Mc Dice To “Experience” The Jims Experience This Sunday

Reasons Why He/She Is Not Returning Your Calls