in

Lyrics Of Man Ingwe New Song “Mwambie”

Here are the Lyrics Of Man Ingwe New Song “Mwambie”

ingwe11

INTRO

 

Hii ni ngoma ya wadhii wanafeel
kama Mungu amewasahau amechelewa sana
Round this ninataka tuombe pamoja tumkumbushe Mungu
Atukumbuke na ikiwezekana akuje mwenyewe asitume malaika

Mwambie Cherie, dada ya Jerry
Jirani wa Njeri, kutoka Jeri
Nilimwona Cherie bila renti,
Akikopa senti kulipa madeni
Alikuwa na magonjwa, watoto wamefukuzwa
Shuleni hakujalipwa, kazini amefutwa
Ukimwona mwambie, asilie
Atulie Namshughulikia

Chorus:
Mwambie, Mwambie, Asilie sana
Machozi yake nitayapangusa
Mwambie, mwambie, nampenda sana
Maombi yake, nashughulikia

Verse 2

Mwambie Johnny, ndugu ya Bonny
Jirani wa Tony, kutoka Doni
Nilimwona Johnny akilia woi
Akisema story ilikuwa sorry
Alikuwa amechakaa, bila pa kukaa
Bila cha kuvaa, kajificha kwenye Bar
Ukimwoma mwambie, asilie
Atulie namshughulikia

(Chorus)

Mwambie, Mwambie, Asilie sana
Machozi yake nitayapangusa
Mwambie, mwambie, nampenda sana
Maombi yake, nashughulikia

Bridge:
Ewe ndugu ukilia naye Mungu analia
Ukiumia, anaumia
Ukifurahia, naye anafuraia
Atakubariki, mwambie mwenzio

(Chorus)

Mwambie, Mwambie, Asilie sana
Machozi yake nitayapangusa
Mwambie, mwambie, nampenda sana
Maombi yake, nashughulikia

Ndugu/Dada/Mama/Baba usilie
Mungu mwaminifu
Atajibu maombi yako, pokea

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

(Research) So Many Youthful Christians Are Having Sex Before Marriage

Will He Propose? 8 Things Ladies Need To Know Before They Get Married?