in

Lyrics : You Never Know By Willy Paul

willy paul thumb

Here Are The Lyrics Of You Never Know By Willy Paul

Willy Willy Willy Paul

Nasema Leo Umelemewa Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo Lakini Kesho You Never Know

You Never Know, You Never Know, You Never Know, You Never Know

Eeeeeh Oooooh Eeeeeeh x2

Usijitie Kitanzi bado muda upo uuuuu

Na bwana yupo yakuangazia mienendo yako oooo

Matatizo ni mengi  yamejawa maishani

Nawazo ya kwako nikupagawa, usipagawe no no no no ,Usipagawe Eeeeeh

Huenda Leo Umekosa Mlo Huenda Leo Wewe Kagonjeka

Familia Nayo Imejitenga Jitenga Nawe eeeewe

Ukijizatiti nikujiamini kwake mwenyezi aaa

Yatakuwa Shwari Yatakuwa Shwari Kukukuuuu

CHORUS

Nasema Leo Umelemewa Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umelemewa Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo Lakini Kesho You Never Know

You Never Know, You Never Know, You Never Know, You Never Know

Eeeeeh Oooooh Eeeeeeh x2

Verse 2

Kwako Taabu Na Njaa, unashindwa utafanya nini Hakuna aaaa x2

Nabusara Ya Wahenga Nikila Mtu Hupata Raha

Moja Ni Moja atakaye muamini yeye

Yatakuwa Shwari Yatakuwa Shwari Yatakuwa Shwari

Usimpandue Usimpandue Anakupenda Wee Anakujali

Chorus

Nasema Leo Umelemewa Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umelemewa Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo Lakini Kesho You Never Know

You Never Know, You Never Know, You Never Know, You Never Know

Eeeeeh Oooooh Eeeeeeh x2

You Never Know, You Never Know, You Never Know

2 Comments

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Do I Have To Go To Church For Me To Be Saved?

(End Days!!) Worship Singer Billy Frank : “A Guy Called Me And Wants To Have A Relationship With Me ??”