in

Lyrics : Nishikilie By Kambua

Artist: Kambua
Song: Nishikilie

kambua thumb11

 

Wewe ni nguzo yangu
wewe kimbilio langu
Mwanga wangu
Baba yangu
Nikikimbia nimkimbilie nani
nikikilia nimlilie nani
nikianguka nani aniamshaye
nikilala nani anilindaye

CHORUS
Nishikilie niongoze mbali na waovu
Baba eh
Nionyeshe njia zako
nami nitazifuata milele

Gongo lako
na fimbo yako
vya nifariji Baba eh
waanda meza mbele yangu
machoni pa watesi wangu

Nishikilie….

CHORUS
Nishikilie niongoze mbali na waovu
Baba eh
Nionyeshe njia zako
nami nitazifuata milele

What do you think?

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

(Photos) Recap : 200 Voices Meet To Praise GOD Featuring Enid Moraa And Nikko

(Video) : Scepta Gets Featured on Ntv’s Msanii Na Sanaa