in

Lyrics : Upendo By Chuchu

chuchu thumb

Here Are The Lyrics Of  “Upendo” Song By Chuchu

 

Verse 1

Itakuwa Vipi Kuishi Bila Wee Mpenzi

Kwani Siwezi Bila Wee Wangu Wa Ndani

Nikitafuta Upendo Kama Huo, Huo Wako ooo

Hakuna eeee

Kanitia Kitabuni Cha Uhai, Kwani Kwako Ewe Baba Sitoki

Kanitia Kitabuni Cha Uhai, Kwani Kwako Ewe Baba Sitoki Eee

CHORUS

Upendo Wako Niwa Ajabu

Upendo Wako Sikama Wabinadamu

Umenihifadhi, Unadumu Milele

Umenihifadhi , Unadumu Milele

Verse 2

Nakupa Sifa Ee Baba Umenitendea   Siwezi Eleza Yote Umefanya

Uwepo Wako Kanilinda, Umeniahidi Uzima (aaah)

Kanitia Kitabuni Cha Uhai Kwani Kwako Wewe Baba Sitoki

(Sitoki Eee)

Kanitia Kitabuni Cha Uhai Kwani Kwako Wewe Baba Sitoki

CHORUS

 

 

 

 

 

 

One Comment

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Mental Health Ambassador Sitawa Wafula Awarded With The “East Africa Youth Philanthropy Award”

Mwafaka Awards 2013 Nomination Night To Be Held This Tuesday