in

Lyrics : Young Kenyan And Saved By Kenn Eddy Krezi

Kenn Eddy Krezi

This is a single of  his debut album titled “YOUNG KENYAN & SAVED. He wrote this song after the experience he had with the violence that shook his world and cost Kenn Eddy Krezi his friends after the 2007 elections.

As he puts it :

“I hope that it will open your eyes to the fact that we are all human and we need to relate as our brothers keeper.I hope we will not judge one another by where we come from,tribes and looks but by the content of our individual characters.I really fight tribalism through this and urge the youths to vote wisely.”

kenneddykrezi

Here Are The Lyrics of the Song

KENN EDDY KREZI CHEKI VILE CHRIST ANA DRIVE ME CRAZY

Oh God of all creation,bless this our land and nation,
justice be our shield,and defender still,may we dwell in unity peace and liberty,
vita mimi sitaki…

Verse One

mi nataka kupaspire
kama weapon ya sapphire

with ma talent kuinspre
before niwahi kuexpire
kama lazima nioe wangu kabila
si afadhali kuchoose kukaa bila
niite mpotovu nimekana mila
na me si kipofu ni,nimekana me la!
if my vybes can tell thar Raila ananiowe dinga
then you are my mr and i am the miss o Jesus
maji hayazoleki yakiwagika tu
manzi haoleki tena akishamarryka tu
si tukuwe cooperative tukibankika tu
badala kuwa operating tukibangika tu
tuko ever ready na tuna power ya paka
kunyolewa dready na hiyo panga ya kaka
tunawekeana curfew why lemme tell em
nifike home saa mbili kwani me ni hellen

Chorus
Am young kenyan and saved,so what can i say,
mimi kijana mi mkenya nimeokoka mzeiya*2

Verse two
kila mtu barcelona world iko messy
hatupendi Man U tunalaumu nani?
hakuna real kuhusu madreadi
na God ni mmoja protector of us and all
manze youths tunapigana
wako used kunywa picana
abused kama vijana
am used na ganji bana
promised for a job huko house of manji
na uko used kuchotea watu kwa houses maji
utarise bila haraka i know its tragic
ukitaka kujibleach bro si please utry jik
naenda Thika na road inazidi kuwa thicker
na nina imani nina God mi nitafika
hata life ikiproove kuwa hard tu
sitasema ati me i cant tu
juu uwe cushite nilote ama bantu
ukifika hell ni lazima utaburn tu

chorus

verse three
zitaendeshwa na nani ka si sisi
tutaombewa na mapastor hata kasisis
tutashinda tukilia oh kazi zi
curse hizi taswizi italeta wizi
from my God ndiyo my talent nilioacquire
na nina imba hata kama si kwa choir
very active ikifika ni campfire
juu ndani ya God nilicamp thats why am on fire
kupigana mabare ka Lucy Kibaki
kununua mkate na loose ikibaki
mbona wewe umkate na hauhusiki basi
na unalipwa tu rwabe na haushuki pasi
unahander msee na gun unaicork kwa collar
unamjaza gas kama soda ya cocacolla
youths tuko alive you cannot burry us
tunavuka border yaani barriers

chorus
Anthem


Discover more from ULIZA LINKS NEWS

Subscribe to get the latest posts to your email.

One Comment

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Bantu Releases His New Video With Jaya “David Dance” (Watch)

New Videos To Watch Out For In The Coming Weeks By Eko Dydda And Others