in

Napokea Kwako Lyrics By Janet Otieno And Christina Shusho

Shusho Janet

Here Are The Lyrics Of Napokea Kwako By Janet Otieno And Christina Shusho

http://youtu.be/TsoMDLvevhQ

Verse 1

(Janet Otieno)

Maisha magumu sana nimepitia

Nikajaribu tafuta msaada Sikupata

Nikaendea Mwanadamu mwisho akanidharau

Kumbe Msaada wa mwanadamu unatoka kwa Mungu

(Christina Shusho)

Nilijua wapo wenye haki yakubarikiwa tuu

Kumbe baraka nihaki ya kila mmoja

(Janet Otieno)

Nimebadili wazo langu namwelekea Mungu

Kwake msaada wangu unapatikana

(Christina Shusho)

Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi

Nami zamu yangu kubarikiwa weeee

Chorus

Wakati ni uu huu waku barikiwa

Zamu ni yangu sasa kupokea

Nimechoshwa na shida za dunia

Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako Baba Napokea kwako

Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako

Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Verse 2

(Christina Shusho)

Nimeamua Kwenda Zaidi Na Zaidi

Nimejipanga hadi nione matunda yake

(Janet Otieno)

Yale Mungu Amewekeza Ndani Yangu

Najua Mungu yuko Kazini Kunikamilisha

(Christina Shusho)

Akisema nimebarikiwa nimebarikiwa tuu

Hataukipinga wewe leo mimi nimebarikiwa tuu

(Janet Otieno)

Mlima gani kuu sana Usioung’owa ( Usioung’owa ee)

Jaribu gani gumu sama usiloweza ( Usiloweza Mungu Wee)

Chozi gani zito kwako usilolifuta ( Mizito Mizito)

Maombi Gani Kubwa Sana Usilolijibu

Chorus

Wakati ni uu huu waku barikiwa

Zamu ni yangu sasa kupokea

Nimechoshwa na shida za dunia

Napokea Kwako (Baraka Yangu) Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako( Afya Yangu) Baba Napokea kwako

Napokea Kwako (Utajiri wangu) Yesu Napokea Kwako

Napokea Kwako (Elimu Yangu) Baba Napokea Kwako

Wakati ni uu huu waku barikiwa

Zamu ni yangu sasa kupokea

Nimechoshwa na shida za dunia

Napokea Kwako (Napokea Kwako) Baba Napokea Kwako

Napokea Kwako  (Kazi Yangu) Baba Napokea kwako

Napokea Kwako (Na Watoto Wangu) Yesu Napokea Kwako

Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

 

 

 

 

 

4 Comments

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

#Linkbs You Are Invited To Join Uliza Links Online Bible Study Every Tuesday

Christian Rapper Lecrae Talks About Signing With Jay-z